CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Huu uzi upo chit chat lakini ni uzi serious naomba ieleweke hivyo.
Kuna watu JF wanatumia kama eneo la kubarizi taarifa za hapa na pale. Good. Lakini, unaweza kutumia kama eneo la kutengeneza 'connection' ya maana na watu 'potential' kwenye maisha yako. Hii ni bravo zaidi. Manufaa yake yanaweza kuwa leo, kesho, mwakani, miaka 2 ijayo, miaka 5, 10, nk. Ila, ku hanga na watu wenge 'potentials, haijawahi kumuangusha mtu maisha tunategemeana maskini kwa tajiri.
So, kama unahisi una potentia yeyote ambayo unahisi uki hang around na watu wanaojua kutumia potentials then mtakuwa kwenye win win situations basi nicheki.
Mfano wa potentials ninazozungumzia ni kama: Mtu muongo sana kupita maelezo, mtu muoga sana hana mfano au mtu jasiri kupita kawaida, mtu muaminifu mno hadi anahisi dunia ingempa tuzo, mtu una mwandiko mzuri sio mchezo, mtu muonekano mbaya ama mzuri ungetamani dunia ikufahamu, ama mtu mwenye akili za ajabu hadi unajishangaa, nk.
Mtu mwenye bahati mbaya ama nzuri hadi anaogopa, mtu anapenda mambo ya kishirikina au ya Mungu hadi unajistukia, mtu mkorofi au mpole hadi aibu, nk.
Mtu una nyota ya biashara si mchezo, mtu ukitongoza lazima ukubaliwe au mtu ukitongozwa huwezi kukataa, nk.
Mtu ni mzuri katika kuanzisha miradi hadi unaona kero, mtu unakula lakini hushibi, mtu mzima lakini kitandani bado unakojoa, mtu muoga kutongoza au kutongozwa hadi unajishangaa, nk.
Mtu very fast ku type hadi unaona aibu, mtu slow learner hadi unaona raha hahahaha, mtu very fast kuelewa hadi unaona kama una majini, mtu mmbea hata kula huoni umuhimu, mtu makini kufuatilia maisha ya watu hadi dah, mtu unachekesha hadi mtu anaweza kuzimia, mtu una masikhara hadi kero, nk.
Mtu tangu shule ww wa kwanza tu hadi una maliza chuo, au mtu mwizi hatari lakini hujawahi kukamatwa wala kustukia.
Jamani eeehh namaanisha 'any potential' ndio maana nimetaja nyingi nyingi ili muone potential ni potential tu ili mradi unayo kuna watu wanahitaji sana labda kwa sanaa, kuelimisha ama ki vyovyote vile.
Nicheki PM