Kama una rasilimali fedha chache, utawekeza kwanza wapi?

1. Biashara/Ujuzi
 
Elimu na ujuzi, tofauti yake nini?
Elimu ya darasani ni ile inayowanyima vijana wengi ajira, na ujuzi ni kile kitu alichopata mhitimu kupitia aina yoyote ya elimu au mafunzo na akawa na uwezo wa kukitenda na kuonekana,ambacho pia kinaweza kumuwezesha kujiajiri.
 
Nikipata kihasi kwanza Biashara then nikishatengeneza Cashflow nawekeza kwenye Skills ili nifanye Hustle zinazohitaji ujuzi nikishafanikiwa sana huo upande pesa ninazo accumulate nawekeza kwenye Biashara kubwa.

1)Fast Business
2)Skills Based Business
3)Starting Business Portifolio

Then Boooom
 
Kutokana na fani yako uliyosoma,unahisi unaweza kufanya biashara itakayoendana na fani yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…