fatmanuria
JF-Expert Member
- Aug 26, 2017
- 440
- 701
Hahahahhah.....Siku hizi kumbe mpaka wafu wanapita humu Jf!? au mamaake alizikwa na smartphone!? kweli aslay alimzika mamaake kidigitali!
Mleta MADA TAFADHALI NAKUOMBA....BARUA KWA MAMA.
Jina langu ni Aslay Isihack, jina hili alinipa Mama yangu mwenyewe Bi. Mozza kutokana na maisha niliyopita ya Muziki wengi wananifahamu kwa jina la Aslay.
Barua kwa Mama yangu kipenzi pamoja na mashabiki zangu.
Hellow Mama najua unanisikia mwanao tangu uondoke life its so complicated kuliko nilivyodhania, kila kitu kwangu tabu nakosa sana ushauri wako natamani kuongea nawe japo hata siku moja lakini nafahamu kwa mapenzi ya Mola haiwezekani nakuombea kila la heri huko ulipo.
Japo kwasasa nimepata kibinti pacha wako, jina lake nimemuita Mozza I wish ungemuona mmefanana sana. Kuna kitu Mama nataka kukugusia juu ya ndoto yangu bado sana natamani kuwa msanii mkubwa kama Kaka zangu na Dada zangu walionitangulia kwenye Muziki. Ndoto niliyokuwa nakusimulia kila wakati tukila Chakula cha jioni.
Mama Kila kukicha Wananirushia mawe nisifike niendapo. Mawe yote Mama nimeyaokota najengea barabara nifike niendapo, hakuna wakunifuta mimi machozi yangu nalia kilio cha mtu mzima maumivu ndani kwa ndani.
Juzi nilitamani nikupigie simu nikuambie yanayonisibu mwanao, Namba yako haipatikani labda umeweka call busy unaniombea dua njema. Nimuambie nani yanayonisibu ndani ya Moyo wangu juu ya Mziki wangu na maisha yangu?
Mashabiki wangu ndiyo wananipa Ujasiri wa kupambana na kukomaa hivo hivo. Sikufaidika na kile nilichokifanya kwa zaidi ya miaka 15
Hata mimi ukiniuliza ilikuwaje nakosa cha kukujibu Mama nataka tukae kikao cha dharura, tuone ilikuwaje.
I feel inferior, najihisi mnyonge, Nawaza nitaanzia wapi?. I just feel hopless and more hopeless day by day. I dont know. Kila ninaposhika panageuka mwiba mchungu kwangu.
Natamani kujua kama unafahamu nanyanyaswa kisa Muziki wangu .
Kiukweli Mama siwezi kulalamika sanaa maana hata wakati napokuwa mpweke mashabiki zangu huniliwaza kwa kusapoti kazi zangu wamekuwa ndiyo faraja kwangu.
Ndiyo wananifanya niwe jasiri wa kuwatengenezea Muziki mzuri kila kukicha. Sometimes nikiwaza mwanangu ataishije, na familia nitaitunza vipi, bila Muziki?
Natumaini utanijibu basi hata ndotoni Mama kama barua yangu utaipokea.
Nimekukumbuka sana mwanao
Aslay.
Nakupenda Mama.
Ni udhaifu Kwa wale wasioelewa, lkn kwa mwelewa anayetambua njia mbalimbali Za relief hawezi sema ni udhaifu.Kuweka hisia zako mitandaoni ni udhaifu
Pole, mama amekufa lakini Mungu hafi, yupo na atakuwepo. Ukishafikia umri wa balekhe kila kitu sababu itakuwa ni wewe sio mzazi tena. Ondoa kile kipande cha nyuma kilichooza usichokipenda kwenye kazi zako na utengengeze upya kilichobaki kwa kiwango na matakwa yako.BARUA KWA MAMA.
Jina langu ni Aslay Isihack, jina hili alinipa Mama yangu mwenyewe Bi. Mozza kutokana na maisha niliyopita ya Muziki wengi wananifahamu kwa jina la Aslay.
Barua kwa Mama yangu kipenzi pamoja na mashabiki zangu.
Hellow Mama najua unanisikia mwanao tangu uondoke life its so complicated kuliko nilivyodhania, kila kitu kwangu tabu nakosa sana ushauri wako natamani kuongea nawe japo hata siku moja lakini nafahamu kwa mapenzi ya Mola haiwezekani nakuombea kila la heri huko ulipo.
Japo kwasasa nimepata kibinti pacha wako, jina lake nimemuita Mozza I wish ungemuona mmefanana sana. Kuna kitu Mama nataka kukugusia juu ya ndoto yangu bado sana natamani kuwa msanii mkubwa kama Kaka zangu na Dada zangu walionitangulia kwenye Muziki. Ndoto niliyokuwa nakusimulia kila wakati tukila Chakula cha jioni.
Mama Kila kukicha Wananirushia mawe nisifike niendapo. Mawe yote Mama nimeyaokota najengea barabara nifike niendapo, hakuna wakunifuta mimi machozi yangu nalia kilio cha mtu mzima maumivu ndani kwa ndani.
Juzi nilitamani nikupigie simu nikuambie yanayonisibu mwanao, Namba yako haipatikani labda umeweka call busy unaniombea dua njema. Nimuambie nani yanayonisibu ndani ya Moyo wangu juu ya Mziki wangu na maisha yangu?
Mashabiki wangu ndiyo wananipa Ujasiri wa kupambana na kukomaa hivo hivo. Sikufaidika na kile nilichokifanya kwa zaidi ya miaka 15
Hata mimi ukiniuliza ilikuwaje nakosa cha kukujibu Mama nataka tukae kikao cha dharura, tuone ilikuwaje.
I feel inferior, najihisi mnyonge, Nawaza nitaanzia wapi?. I just feel hopless and more hopeless day by day. I dont know. Kila ninaposhika panageuka mwiba mchungu kwangu.
Natamani kujua kama unafahamu nanyanyaswa kisa Muziki wangu .
Kiukweli Mama siwezi kulalamika sanaa maana hata wakati napokuwa mpweke mashabiki zangu huniliwaza kwa kusapoti kazi zangu wamekuwa ndiyo faraja kwangu.
Ndiyo wananifanya niwe jasiri wa kuwatengenezea Muziki mzuri kila kukicha. Sometimes nikiwaza mwanangu ataishije, na familia nitaitunza vipi, bila Muziki?
Natumaini utanijibu basi hata ndotoni Mama kama barua yangu utaipokea.
Nimekukumbuka sana mwanao
Aslay.
Nakupenda Mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]eti machoz.... mm nimesoma nacheka kabisa.....
Very trueKuweka hisia zako mitandaoni ni udhaifu
Mkuu milion 8.1 views kwa hapa bongo ni sawa kiasi gani tafadhaliBadala ya kutengeneza social conscious song, unaenda kuandika online!
Hapa ndipo mwenzenu Chibu anawapiga bao halafu mnasingizia kurogwa au kupigwa vita kumbe mmekosa uelewa wa tasnia!
Yale ya kwenye SIKOMI (wimbo) si yanafanana na haya ingawaje yake ni upande wa mapenzi?!
Lakini mwenzenu badala ya kuwaandikia mashabiki for free, akatengenezea track na huko Youtube inakimbiza kuliko alivyotarajia!
8.1 Million View na wakati anaitoa wala hakuipa backup!
eti machoz.... mm nimesoma nacheka kabisa.....
Castr hii comment yako imenikumbusha yule jamaa wa Linkin Park,Cheater beddington aliyejiua juzi kati!! yule jamaa alikuwa anatandika ma chorus hatariii sana kama ile ngoma bleed it out,In the end n.k.aysee mule jamaa ameimba kwa hisia sanaaaaaaa,sisi mashabiki tunafurahia burudani kumbe jamaa ana reveal na ku express what he real faces in real life!! he had dough,fast lane houses,cars,family but deep down inside ana depression balaa mpaka kuja kujiua badae,doooh!! Fame has a price too!!Kitakwimu watu maarufu are very likely kujiua kuliko wasio maarufu kwakua mtu maarufu hua anaamini anapendwa ila hakuna anayemuonyesha affection directly, hivyo hujikuta anaonyesha feelings zake kwa watu ambao hawajali au hawato-love him back.
Hapo ndiyo depression huja, bad case scenario ni kuanza kutumia vilevi Houston, Ray C, Chidi & co worst case ni suicide.
Kwakuwa hayupo, lakini hata angekuwepo asingebadilisha kitu kwako. Wako watu wanao wazazi wao wote lakini hawana cha maana kinachoonekana. Kaza buti, kuzaliwa ni mchakato tu unaoishia wakati wa umri wa kujitegemea, baada ya hapo wazazi wanabakia kama watu muhimu tu kwako wanaokutegemea, grieving and mooning has to have an end.Punguza mawazo! Yote ni mapenzi ya Mungu! Najua ni pengo lisiloweza kuzibika, kidonda kisichoweza kutibiwa, lakini hali inayoweza kuzoeleka. Najua ungetamani ale matunda ya kazi yako lakini atayaoata kwa kumuombea thawabu kwa Mungu