Dah... Sura mbaya ikoje Hasa?
[emoji13] [emoji13]
chungulia avatar yako mkuuDah... Sura mbaya ikoje Hasa?
[emoji13] [emoji13]
Dah..... Lazima kuwe na vigezo Mkuu....Sura mbaya iko ndani ya macho ya muangaliaji [emoji13] [emoji13]chungulia avatar yako mkuu
Basi utakuwa na vi elements kama vya Irene Uwoya kupenda wenye sura ngumu......Mtoto wa kike uko hapo!Poa mama tupia picha tuone sura.