EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
1. Mafuta hayajawahi kuvuka nusu tank.
2. Ukiingia sheli unaweka mafuta yasiyozidi 20k.
3. Gari yako kuwaka taa ya mafuta ni kiawaida sana (unajisemea hii gari mimi ndio naijulia, hii taa natembea 30km+)🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
4. Ukiwa kwenye foleni lazima uzime gari.
5. Service unatumia mafuta ya kupima na ATF za kupima.
6. Unaendesha gari weekend tu tena misele ya hapa na pale mtaani.
7. Taa ikipata ufa unafunika na stika🙂🙂🙂.
8. Bush zikifa unachonga za natari ya gari.
9. Ball Joint ikilegea inagongwa nyundo 😀
Ongezeni mengine.