Kama una tabia hizi hukuwa yatari kumiliki gari, umelazimisha

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
1. Mafuta hayajawahi kuvuka nusu tank.
2. Ukiingia sheli unaweka mafuta yasiyozidi 20k.
3. Gari yako kuwaka taa ya mafuta ni kiawaida sana (unajisemea hii gari mimi ndio naijulia, hii taa natembea 30km+)🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
4. Ukiwa kwenye foleni lazima uzime gari.
5. Service unatumia mafuta ya kupima na ATF za kupima.
6. Unaendesha gari weekend tu tena misele ya hapa na pale mtaani.
7. Taa ikipata ufa unafunika na stikaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.
8. Bush zikifa unachonga za natari ya gari.
9. Ball Joint ikilegea inagongwa nyundo πŸ˜€

Ongezeni mengine.
 
Tairi ikiwa kipara una gongea used zile za 15k ..... kama gari ni IST [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…