Kama una uhitaji wa website au web application nitakusaidia kukutengenezea

Kama una uhitaji wa website au web application nitakusaidia kukutengenezea

lugutuitclass

New Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Habari wanaJF?
Kama una uhitaji wa website au web application nitakusaidia kukutengenezea kwa muda kama ambavyo tutakubaliana

Aina ya website nazotengeneza
1.Wordpress websites na blogs nafanya kwa shilingi laki mbili mpaka tatu

2.Website ambazo hazina database au static websites.Hizi natengeneza kuanzia laki mbili na nusu mpaka laki nne

3.Websites ambazo zina database au web application.Hizi natengeneza kianzia laki tano mpaka milioni moja na nusu kulingana na uhitaji wako

Ukilipia gharama hizo,nitakupa ofa ya kuhost na kununua domain ya website yako kwa muda wa mwaka mmoja

Lugha za kompyuta nazotumia
1.Frontend
HTML5,CSS3,Bootstramp ,Xml na JavaScript

2.Backend
a)database ,natumia mySQL
b)server side language,natumia PhP

Napatikana mkoani Dodoma mahali ni chuo kikuu cha dodoma UDOM katika ndaki ya sayansi ya mawasiliano na compyuta

Mawasiliano
0753039599/0714874039
 
Back
Top Bottom