Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Vijana wengi wana idea nyingi za biashara lakini kutokana na kukosa fedha wamezikalia hizo idea,hivyo kama uko na uwezo kifedha andaa mashindano kupitia mitandao ya kijamii kama Facebook,Twitter,JF etc.
Ilo shindano lenyewe ni kushindanisha watu kukuandikia wazo bora la biashara kwenye ukurasa wako wa mtandao wa kijamii,na shindano ilo lipeleke ata kwa miezi 3 na utangaze mshindi anapata laki moja.
Utapata mawazo mengi sana ya biashara na mazuri sana sababu yatakuwa yametoka kwa vichwa mbalimbali na hao waliokupa mawazo watakuwa waliumiza sana kichwa hivyo utapata wazo sahihi.
Matajiri wengi wanatumia njia hii japo nyie hamuwezi kujua lakini wengine tunajua.Watu wengi wenye uwezo wamefanikiwa kuwekeza sehemu tofauti lakin bado wanataka mawazo mapya ili kuongeza uwekezaji.Pia njia hii haina gharama kubwa kama kuajiri mshauri wa biashara ambaye utalazimika umlipe pesa nyingi na bado hautoweza kupata mawazo mbalimbali.
kwa wale wote wenye uwezo tumieni njia hii,mtapata mawazo mapya hadi mtashangaa