Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #541
Ndio mkuu vyuma vipo vya kutosha jichagulie tuKumbe Naweza kumiliki chuma na mimi
Hii chombo ni manual, auto?Prado TX
Engine 1kz
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 2291613View attachment 2291616
Hii ni Auto mkuuHii chombo ni manual, auto?
Budget yako ngapi mkuu?Nahitaji navara asee
Cash yangu kiduchu imenifanya niache kukagua ndinga za maana, naona magari yangu bei mbaya. Ngoja tuendelee kizitafutaUnakuta gari ya 5m wewe unaanza na 11m, obviously hiyo gari mazunguzo hayatashuka chini ya 9m
Hii tatizo ni nini?Toyota RAV4 short chassis
Model Year:2001
Engine capacity:1990
3 Doors
Bei: Milioni 6
Mawasiliano:0658124554View attachment 2250152View attachment 2250154View attachment 2250156View attachment 2250157
Ni wamiliki wenyewe saa nyengine wanatoa sharti hiloHii tatizo ni nini?
Na kwanini yingine unaficha namba, zingine unaachia hivyohivyo.
View attachment 2293622View attachment 2293623View attachment 2293624
Milango mitatu, BBK bei haishuki? Na je sio jini hiyo??Ni wamiliki wenyewe saa nyengine wanatoa sharti hilo