Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #41
Bei zinazungumzika mkuuOyaa Master!!
una mandinga Makali Sana tatizo lako lipo kwenye bei mzee sio Poa kabisa
Unakuta gari ya 5m wewe unaanza na 11m, obviously hiyo gari mazunguzo hayatashuka chini ya 9mBei zinazungumzika mkuu
Haha duh! hapo umeamua kuniua mkuu, unawezaje kuuza gari ya milioni 5 kwa milioni 11 kwenye ulimwengu huu wa utandawazi?Unakuta gari ya 5m wewe unaanza na 11m, obviously hiyo gari mazunguzo hayatashuka chini ya 9m
[emoji23] kuna Noah moja ya 2001 nimekuta unauza 14mHaha duh! hapo umeamua kuniua mkuu, unawezaje kuuza gari ya milioni 5 kwa milioni 11 kwenye ulimwengu huu wa utandawazi?
Maana sikuhizi mteja yuko na taarifa nyingi kuliko hata mimi muuzaji
Nakazia hapa kilichosemwa Master of the gameUnakuta gari ya 5m wewe unaanza na 11m, obviously hiyo gari mazunguzo hayatashuka chini ya 9m
Sawa mkuu nitakua naweka gari za budget tofauti ili kila mtu achague anayomudu