Kama unahitaji nyumba ya kupanga

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Hellow! Kwa wale wanaotafuta nyumba za kupanga katika wilaya ya kinondoni maeneo kama makumbusho kijitonyama mwananyamala mikocheni na mengine tafadhali tuwasiliane kwa
Namba 0716 85 06 95
Mwaka mpya unakuja tafuta nyumba yenye hadhi yako
 
Kijitonyama mtaa wa Akachube kuna nyumba inapatikana pale? Au Makumbusho?
 
Nataka vyumba viwili na sebure kuwe na parking si zaidi ya 250,000. Nataka Knyama, makumbusho, mwenge au sinza 0658445629
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…