KAMA UNAHITAJI PHOTOGRAPHER, VIDEOGRAPHER NA GRAPHICS DESIGNER.

KAMA UNAHITAJI PHOTOGRAPHER, VIDEOGRAPHER NA GRAPHICS DESIGNER.

Big dady 11

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
109
Reaction score
128
Wakuu mko poa.

Nmekuja kutafta fursa acha niende kwenye point..
Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designerna content creater.

Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.
Aina za Kazi nilizowahi kufanya ni;
*Kushoot na kuedit video na upigaji picha kwenye events(harusi,send off, kitchen party, etc)

*Kushoot na kuedit music videos.

*Kutengeneza logo na posters.

*Kushoot na kuedit movies.

*Kutengeneza mahudhui(content) mbalimbali za kibiashara na za kisanaa(filamu)

*Uendeshaji wa social media ( YouTube channel)

Km Kuna taasisi, kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huu basi nicheki tufanye kazi

Program nnazotumia ni
Adobe premiere
Adobe Photoshop
Adobe aftereffect
Adobe illustrator
Adobe audition
Adobe Lightroom
Power point

Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.

Pia km unahitaji kufungua biashara ya photo and video studio karibu tunaweza kufanya Kaz Nina uzoefu sana upande huo..

Pia ata ukiwa na duka, kampuni, taasisi mnahitaji mtu wa video na picha au wa graphics designer kwa part time au full time job pia nicheki tunaweza kufanya Kaz.

📷Ujue sisi ni watu wa behind the scenes hivyo sio wazuri kwenye kujielezea.😁

Nicheki kwa maswali au ushauri wowote uhusianao na Mambo ya video and photo production kama ;
*Uandaaji wa matangazo ya video.
*Uandaaji wa matangazo ya picha ( posters)
*Uandaaji wa documents (makala)
*Uandaaji wa filamu.
*Uandaaji wa music videos.
*Uandaaji wa photoshoot.
Na jambo lolote linalosusiana na tasnia ya video production nichek nitakujibu chochote na kukushauri/kushauriana.

0692477610 watsapp
 
👏🏻👏🏻Tutakupa kazi usijali
 
20M inarudi baada ya muda gan kwa uzoef wako au unavohisi
Inategemea na Aina ya wateja ulio walenga.
Mfano nishafanya Kaz msasani kule wedding ni milioni 1 na nusu kitchen party laki 8.. wateja niwakishua mnakuwa booked kia weekend hapo Kuna j3 to ijumaa Kuna wateja wa photoshoot studio.
Kwaiy ukiwa na wateja wa Aina hiyo mtaji wako unarudi chap.
Na kwa production ya mtaji mkubwa maana Yake utakuwa na vifaa vingi na vzur hivyo uwez kufanya tu events. Lazma utafanya na matangazo ya makampuni.utafanya music video za upcoming artist wa bongo flavor, kwaya pia filamu za wasanii ( bongo movie wa sinema zetu)
Kwaiy ndani ya miaka 2 unaweza kuwa usharudisha mtaji wako na kuanza kula faida.
Na uzur wa video production ukinunua.vifaa ushamaliza kikubwa utunzaji tu.

Pia Kuna studio za mbagala(uswahilin )aina ya wateja ni wanakipato cha kati na chini.. wedding,kitchen party n.k ni laki 3 Hadi laki 2 na nusu wengine wanashoot ad kwa laki na nusu photoshoots ni elf mbili ..
Hivyo hivyo ukiweka mtaji mkubwa huchukua mda kurudisha mtaji na kupata faida..
Ndomana studio nyingi huwa zataji chini ya milion 5.
 
Back
Top Bottom