Kama unahitaji wafanyakazi wa kulima nipigie simu

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
326
Reaction score
464
Habari ya jua Kali na AC wanandugu.

Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa.
Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile.

Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika.

Heshima na Uaminifu #Dalaliwamjiji.
0754693556
 
vp wana nauli ya kuja shamba niko pori kwa pori kiteto
 
Habari ya jua Kali na AC wanandugu.

Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa.
Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile.

Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika.

Heshima na Uaminifu #Dalaliwamjiji.
0754693556
Ni vijana kweli au misukule??
 
Back
Top Bottom