Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
vp wana nauli ya kuja shamba niko pori kwa pori kitetoHabari ya jua Kali na AC wanandugu.
Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa.
Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile.
Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika.
Heshima na Uaminifu #Dalaliwamjiji.
0754693556
Wamekunywa sungura, nguvu wanazo?Wanaweza kulima heka ngapi per day?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mazao yakikugomea?Vijana wa malipo baada ya mavuno wapo?
Ni vijana kweli au misukule??Habari ya jua Kali na AC wanandugu.
Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa.
Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile.
Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika.
Heshima na Uaminifu #Dalaliwamjiji.
0754693556
Bila Shaka mkuu wewe sema unahitaji watu wangapi wa kulima na location ni wapi.Ni vijana kweli au misukule??
Sio wote mkuuWamekunywa sungura, nguvu wanazo?
Daah mkuu watumie nauli wafanyakazivp wana nauli ya kuja shamba niko pori kwa pori kiteto
Location wapiNahitaji kijana wa kuchunga mifugo wapo??
Wewe unataka kulimiwa heka ngapi Kwa siku?Wanaweza kulima heka ngapi per day?
🤣🤣Wamekunywa sungura, nguvu wanazo?