Yeah Inapendeza sana
Bank transfer mbona ni easy zaidi,, kuliko kupata dola cashUna dola 50,000 nipe rate nzuri hiyo yako ni ya madalali.
Una dola cash au unafanya bank transfer?
Duh 🙄 hiyo email tu ipo kitapeli!Habari wana JF, kwa sasa kumekuwa na uhaba wa dollar kinachopelekea wengi wa wafanyabiashara shughuli zao kukwama.
Nimekuja na suluhisho la kukusaidia wewe mfanyabiashara unaeagiza bidhaa nje, kama unaitaji dollar wasiliana nasi kupitia
Canvatanzania@gmail.Com
Rate: 2830
Huna chochote unachokifahamu kuhusu Dollar, hacha kujitapatapa tu, eti Bank transfer, serious?Bank transfer mbona ni easy zaidi,, kuliko kupata dola cash