Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,175
Reaction score
2,294
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.
 

El Capriso!

Kick the crap out of you!
 
umelewa nini?
 

Wewe fisadi tuu.Umetumwa kuleta propaganda zisizokuwa na mashiko! Hapa umeingia choo cha kike:dance::dance::A S 103::A S 103:
 
Haya tena mambo hayo!

 

Attachments

  • Kiwete.jpg
    55.9 KB · Views: 469
bwaha ha ha ha ha ha ah
REV&Mwafrika .huyu jamaa mmemjibu vizuri manake lugha ya picha inabeba ujumbe mkubwa kuliko vitu vyote
huyu katumwa anaganga kitumbo chake tu huyu. Mwisho wake unakaribia
hivi wewe ngoda njaa ndio inakusumbua namna hiyo?unaongea utumbo tu hapa na sisi hatutakuvumilia uendelee kuupotosha umma hapa
sikia, hizi njaa zako zitakuua mjomba kuwa makini unapotaka kuja hapa na wala usikurupuke tu hapa, utakuja kukalia kuti kavu .

Abiziani..........................
 
Nikichangia nitapewa life ban na mods,ila tu mtoa mada akumbuke siasa za majitaka hazina nafasi katika Tanzania ya leo.
 
Nikichangia nitapewa life ban na mods,ila tu mtoa mada akumbuke siasa za majitaka hazina nafasi katika Tanzania ya leo.

Hujisikia msemo "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Fafanua tafadhali.
 

bwaha ha ha ha ha ha aha aha
zawadi umejiona?
Mwafika umemmaliza dogo
yupo chali sa hizi sijui aje na mada gani nyingine.

Abiziani..................................................
 

Angalia mnavyoshindwa kujibu hoja, Hata mkiingia madarakani itakuwa hivyo hivyo ni swaga swaga tu.

Jamani vyama vinginew navionea huruma.

Nauliza tena "usichague chama , chagua mtu" Tutafsirie hata kikwenu.

Hapa ndipo udikiteta ulipolala. Kama utashindwa kujibu na kutuletea picha zisizo na mpango, tutaelewa kuwa MADIKITETA WAMEPIGA HODI.
 
Chagua mtu eeh? Mtu makini na anayefaa kuiongoza Tanzania kuelekea mwaka wa 50 tangu ipate uhuru ni Dr Slaa. Umefurahi?
 

 

wewe hujui maana ya ujumbe wa picha?
Wewe nenda kaombe dailynews wakuruhusu ukaandike makala kule au kamuombe michuzi akuwekee bandiko lako kwake hapa ume FAIL
 
wewe hujui maana ya ujumbe wa picha?
Wewe nenda kaombe dailynews wakuruhusu ukaandike makala kule au kamuombe michuzi akuwekee bandiko lako kwake hapa ume FAIL

Hivi Mkishinda mikutano mtakuwa mkifanyia wapi? au ndio mtapewa bure kule..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…