johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Au nasema uwongo ndugu Zangu?
Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa
Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto
Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma
Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
Huyu ni tapeli wala hata hakuwepo kipindi hichoJitahidi upunguze matumizi makubwa ya chumvi na sukari.
Hahahahaha , walau basi iwe hata umecheza disco la DJ Mbowe pale Hard Rock na Club BillsAu nasema uwongo ndugu Zangu?
Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa
Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto
Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma
Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
Aise hatari sanaAu nasema uwongo ndugu Zangu?
Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa
Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto
Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma
Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
Watutoleee fujo zao, basi hata kumalizia uzee Kwa macheni mnyalukolo hawajui, tukikumbusha vurugu za kino shamba watakutajia biafra,Au nasema uwongo ndugu Zangu?
Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa
Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto
Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma
Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
Kitambo sana 😂😂Aise hatari sana
Ova
Mimi sikuwepo enzi hizo.Nimeuza shamba langu la mikusu hapa Kinegembasi ndiyo nakuja na ABC ya jioni huko Daslam.Au nasema uwongo ndugu Zangu?