jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Vipi kwani wewe ni dadake au shangazi yake? Japo hamjafanana au ww ni god kdm mtangazaji mwandamizi wa mawingu?Wababe sisi tunajijua huwa hatuna maneno mengi vitendo tu.
Jana nilimtia makofi mtu baada ya kunambia mi nina undugu na joyce kiria ,sipendi ujinga mdogomdogo mimi!
HAHAHAHA mukubwa una jaji ubabe na viatu?, njo na kisu chako nikupige rungu moja tu....hakuna mbabe anavaa hiyo mirangirangi ya kigoloko ya viatu!
..toa kiwembe nitoe kisu tuone nani m'babe halisi!
Uliza tena sijakuelewa ,nitakupiga makofi na weweVipi kwani wewe ni dadake au shangazi yake? Japo hamjafanana au ww ni god kdm mtangazaji mwandamizi wa mawingu?
....kugecha ndo kufanyajeJana nilimgecha mume wangu mpaka muda huu nipo polisi.
si ndugu yanguLakini c ndugu yake kweli mkuu?
Maana ya kugecha tafadhaliJana nilimgecha mume wangu mpaka muda huu nipo polisi.
KukataMaana ya kugecha tafadhali
....kugecha ndo kufanyaje
Aisee bwana mdogo una vituko sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wababe sisi tunajijua huwa hatuna maneno mengi vitendo tu.
Jana nilimtia makofi mtu baada ya kunambia mi nina undugu na joyce kiria ,sipendi ujinga mdogomdogo mimi!
wewe utakuwa bado una evolve toka kwenye monke- kuwa binadam kamiliWababe sisi tunajijua huwa hatuna maneno mengi vitendo tu.
Jana nilimtia makofi mtu baada ya kunambia mi nina undugu na joyce kiria ,sipendi ujinga mdogomdogo mimi!