Kama unajiona huna mapungufu, ndoa itakushinda

Kama unajiona huna mapungufu, ndoa itakushinda

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Jamani, nawapenda wote humu ndani kwa maoni, ushauri, kuelimisha, kufahamisha n.k Ukweli Tangu niingie JF sijawahi juta.

Ni hivi Wananzengo,Kama UNAJIONA na kujikuta wewe huna mapungufu, wewe mtakatifu, yaani kila unachofanya hukosei, baaaasi nakuomba Sana usioe, Wala usiolewe tulia tu.

Siku kichwa Cha chini kikihitaji msosi, Buguruni, Sinza, Itigi kutakuhusu.

Bad enough marafiki nao ndio wanatudanganya kabisaaa, maana utasikia wewe fanya hivi na vile, si umeona Mimi nafanya hivi.

Ndugu, heri rafiki mmoja anayekueleza mapungufu yako kuliko hao 100 wanaokusifia ujinga na upumbavu wako.

Kubali mapungufu yako ni hekima na busara.

PENDA KUREKEBISHWA KULIKO KUREKEBISHWA.

FURAHIA KUONYWA KULIKO KUONYA.

HERI AKWAMBIAYE UKWELI MCHUNGU KULIKO AKWAMBIAYE UONGO MTAMU.

Roho wa Mungu awaongoze.
 
Back
Top Bottom