kama unajua nielimishe.

kama unajua nielimishe.

ciza

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
7
Reaction score
0
unaponunua computer (laptop au desktop) ni kipi cha kuangalia?
ukianzia na hd iweje, ram ukubwa gani, processor na vingine.
Nijuze kama unajua.
 
HD 250, RAM 2GB na Proc Coi3....The Minimum Laptop You can Buy...any Brand is good for You
 
si tu kwa laptop bali chochote kile unachotaka kununua kitu chankwanza kuangaliza ni kwa matumizi gani unataka!! mfano unataka gari mtu anaweza akakushauri ununue scania yenye turbo horse power 900 kumbe maskini ya mungu wewe unataka gari ya kutembelea tu!!! so unataka kufanyia nini...maana computer kwa ajili ya gaming si sawa na computer anayotaka mtu wa kusomea tu shulena pia si sawa na mtu anaetaka kufanya kazi labda za labda graphic design ...nk.
 
Back
Top Bottom