si tu kwa laptop bali chochote kile unachotaka kununua kitu chankwanza kuangaliza ni kwa matumizi gani unataka!! mfano unataka gari mtu anaweza akakushauri ununue scania yenye turbo horse power 900 kumbe maskini ya mungu wewe unataka gari ya kutembelea tu!!! so unataka kufanyia nini...maana computer kwa ajili ya gaming si sawa na computer anayotaka mtu wa kusomea tu shulena pia si sawa na mtu anaetaka kufanya kazi labda za labda graphic design ...nk.