emmanuel magige
Member
- Jul 14, 2012
- 60
- 4
Hv kwa wale wanaosoma clinical officer under government sponsorship wanalipa ada kiasi gn? Na pia vyuo vya serikali vina hostel kwa ajili ya wanafunzi au mwanafunz anatafuta mwnyw hostel ya kupanga.
Ahsanten.
Ahsanten.