E emmanuel magige Member Joined Jul 14, 2012 Posts 60 Reaction score 4 Sep 26, 2012 #1 Hv kwa wale wanaosoma clinical officer under government sponsorship wanalipa ada kiasi gn? Na pia vyuo vya serikali vina hostel kwa ajili ya wanafunzi au mwanafunz anatafuta mwnyw hostel ya kupanga. Ahsanten.
Hv kwa wale wanaosoma clinical officer under government sponsorship wanalipa ada kiasi gn? Na pia vyuo vya serikali vina hostel kwa ajili ya wanafunzi au mwanafunz anatafuta mwnyw hostel ya kupanga. Ahsanten.
K Kiny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 289 Reaction score 57 Sep 26, 2012 #2 Sijui vyuo vingine ila ninaijua cotc ya kibaha ambayo iko Tumbi hospital wana hostel naikumbuka moja inaitwa muungano meal wanapata palepale. N.K
Sijui vyuo vingine ila ninaijua cotc ya kibaha ambayo iko Tumbi hospital wana hostel naikumbuka moja inaitwa muungano meal wanapata palepale. N.K