Kama unakula haramu chagua iliyonona

Kama unakula haramu chagua iliyonona

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Guys ku-cheat ni dhambi...Ila ikitokea kama AJALI basi cheat na Mwanamke Mrembo kiasi kwamba waifu akikufumania anaomba kupiga nae Selfie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa hilo jambo mkuu. Kucheat hakuna formula. Kuna jamaa alikua na tabia ya kucheat na mahousegirl wake. Kila mke akileta dada wa kazi jamaa anamla. Mwisho wa siku mke akaamua kuleta kabinti kabaya kamekomaa kama ngederee akidhani ndio suluhisho. Cha kushangaza huyu ndio alitiwa na mimba kabisaaa.
 
ha ha ha ha ha Aisee ndio maana siku hizi wanataka kutuletea wafanyakazi wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
? wahi hospital mapema kabla malaria haijapanda kichwani mkuu upo hatarini

nasisitiza wahi mapema
 
Back
Top Bottom