[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa nini mkuu.Kweli ulipokuwa sio salama.
Acha kabisa hilo jambo mkuu. Kucheat hakuna formula. Kuna jamaa alikua na tabia ya kucheat na mahousegirl wake. Kila mke akileta dada wa kazi jamaa anamla. Mwisho wa siku mke akaamua kuleta kabinti kabaya kamekomaa kama ngederee akidhani ndio suluhisho. Cha kushangaza huyu ndio alitiwa na mimba kabisaaa.Guys ku-cheat ni dhambi...Ila ikitokea kama AJALI basi cheat na Mwanamke Mrembo kiasi kwamba waifu akikufumania anaomba kupiga nae Selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha ha Aisee ndio maana siku hizi wanataka kutuletea wafanyakazi wa kiumeAcha kabisa hilo jambo mkuu. Kucheat hakuna formula. Kuna jamaa alikua na tabia ya kucheat na mahousegirl wake. Kila mke akileta dada wa kazi jamaa anamla. Mwisho wa siku mke akaamua kuleta kabinti kabaya kamekomaa kama ngederee akidhani ndio suluhisho. Cha kushangaza huyu ndio alitiwa na mimba kabisaaa.
Hahahahah wacha matani wewe? wahi hospital mapema kabla malaria haijapanda kichwani mkuu upo hatarini
nasisitiza wahi mapema