Tetesi: Kama Unamchuki Diamond Pole sana

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee huyu Kijana ameupeleka mziki wa Bongo kimataifa, kama Mtu unamchukia Kijana huyu wa Tandale aisee Utapata Tabu mnooo... Yani Diamond ni Jeshi la mtu mmoja anabadilisha ladha za muziki kila leoo kila aina ya mziki anaimba yule kijana alafu akitoa ngoma inahit mpaka hasiraa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].

Ukimchukia diamond utateseka sana mafanikio yake na mziki wake Hakuna kijana anaefanya sanaa bongo anaweza mfikia kamwe... Labda aje kutokea miaka 100 ijayo but until then Diamond will be the ICON OF MUSIC IN TANZANIA even East Africa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Your browser is not able to display this video.
 
Ameiga kila kitu toka kwa Afro Congo
 
Sijui watoto wetu niwazima kule SA ????
Niliwaza San jana baada ya gari la mgeni furani kibopa kushambuliwa na wazuru
 
Watanzania wengi wana tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…