Kama unamiliki gari, pita hapa

Kama unamiliki gari, pita hapa

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
137
Kifaa au vifaa gani vya gari lako huwa vinaharibika mara kwa mara?

Tuna mdau anataka kuleta fursa ya vifaa vya uhakika na bei nzuri.

Pamoja
 
Wazo zuri sana hili, jambo muhimu mngeanisha ofisi mlipo ili kwa wale wanaoweza kufika mlipo na mawasiliano yakawepo.
 
Back
Top Bottom