Kama unanyimwa chakula na mkeo................

Henrick sanga

Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
13
Reaction score
0
Hayaaaaa jamani nimerudi tena na bakora hapa kuna jamaa kaniambia niwaulize wanajamii kuhusu hiyo kitu ya juu hapo. ''kama mke wako wa ndoa kila siku anasema hajisikii kukupa chakila ya night club utafanyaje? maana kuna watu humu wana kasumba hiyo watuambie walifanya nini? na je walifanikiwa au mpaka leo shuluba tu na vicheche?
 
mbona easy tu!

Kila siku wewe act uko kwenye ndoto ya majamboz na timu ya nje.....................aah!
 
Kuna jamaa ananyimwa kinoma sasa tunaomba ushauri hapa jamaani anatia huruma
 
Si ndio anakuwa amekupa exposure kwa mademu wakali wa kazini kwenu
 
akatafune nini sasa???????

nimesema aende nje akatafune nanihii kwa madem wengine kama mkeo anambania. tena akimaliza aje amevaa kufuli la huyo wa nje....ajifanye amesahau kumbe makusudi...hiyo ndiyo dawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…