Kama unapenda kucheza Draft huna haja ya kushinda kijiweni tena

smatskills

Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
30
Reaction score
19


Unapenda au unajua kucheza Draft? Siku hizi vujiwe vya kucheza vimepungua sana, kwanini...?
Kumbe wazee vijana na watu wote wanashinda kwenye simu zao.
Sasa unaweza kucheza kwenye simu yako, angalia na kupakua usisahau kumpakulia mzee wako mwenye simu janja yake ili achezee popote, apunguze kwenda kijiweni unaweza kuangalia toleo kama la Tanzania na kupakua hapa Cheza Draft la Tanzania kwenye Simu yako sasa ~ SmatSkills
 
Mkuu chabo la dirishani ni tofauti sana na chabo la kwenye simu aseee.

Yule kiongozi aliyefukuzwa kwa chabo alikuwa na uwezo wa kucheki kwenye simu unadhani kwa nini akachagua kutazama mechi LIVE. Ina ladha yake ndugu.

Acha niishie hapa tu mkuu.
 
Hilo halina ladha kama la kucheza na watu. Nimelicheza sana mwisho wa siku nimeuninstall bze inaboaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…