Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Nakumbuka niliwai kupanga nyumba ya mpenda dini basi kila nacho fanya ujana wangu yani kila siku kuning'ang'ania ni silimu ikabidi nihame ile nyumba.
Nikapata nyumba nyengine ya mlokole yani enzi hizo nyimbo ya FM academia na ekudo sound hataki nyumba yake tupige ila usiku ni mwendo wa maombi mpaka bia zilikuwa zinakata.
Nashukuru nimejenga ambazo sehemu kila mtu na mambo yake.
Sijui wenzagu mliopitia hayo