Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ungemchapia mabinti zake wote uwajaze Na mimba kisha unahama, afanye maombi/ kisomo kuzuia hizo mimba kama yeye mjanjaNakumbuka niliwai kupanga nyumba ya mpenda dini basi kila nacho fanya ujana wangu yani kila siku kuning'ang'ania ni silimu ikabidi nihame ile nyumba.
Nikapata nyumba nyengine ya mlokole yani enzi hizo nyimbo ya FM academia na ekudo sound hataki nyumba yake tupige ila usiku ni mwendo wa maombi mpaka bia zilikuwa zinakata.
Nashukuru nimejenga ambazo sehemu kila mtu na mambo yake.
Sijui wenzagu mliopitia hayo
Umenizidi mwaka mmoja kaka.mimi bado nakimbizana na ujana kwanza ndo kwanza nna miaka 19 nainjoi ujana
Ulijiunga JF ukiwa na miaka 13 Tena Bado uko shule ya msingimimi bado nakimbizana na ujana kwanza ndo kwanza nna miaka 19 nainjoi ujana
Ujana Hauna umri ndugu yangu unamjua yule Mzee wa TikTok au lemutuz R.I.P usipoamua kuacha ujana basi ujana hautokuachaUmenizidi mwaka mmoja kaka.
Juzi nimetimiza 18 π.
Acha tuendelee kula ujana, mpaka kuja kufika 30 tushakula bata refu sana.
Sawasawamimi bado nakimbizana na ujana kwanza ndo kwanza nna miaka 19 nainjoi ujana
Yaani kabisaaa...!!! Na kwenye ndoa ndo hatari. Mtu asithubutu kuoana na asiye wa imani yake. Bila kujali wote ni waislamu (shia na mwengine) au wote ni wakristo (dhehebu moja na jingine).Nakumbuka niliwai kupanga nyumba ya mpenda dini basi kila nacho fanya ujana wangu yani kila siku kuning'ang'ania ni silimu ikabidi nihame ile nyumba.
Nikapata nyumba nyengine ya mlokole yani enzi hizo nyimbo ya FM academia na ekudo sound hataki nyumba yake tupige ila usiku ni mwendo wa maombi mpaka bia zilikuwa zinakata.
Nashukuru nimejenga ambazo sehemu kila mtu na mambo yake.
Sijui wenzagu mliopitia hayo
Una umri mkuu, mi nikifanya anayofanya huyo mzee hamtonishangaa kwakua ni kijana mdogo(18 yrs),Ujana Hauna umri ndugu yangu unamjua yule Mzee wa TikTok au lemutuz R.I.P usipoamua kuacha ujana basi ujana hautokuacha