Mmhh! Mnapataga wapi ujasiri wa kutoka na mirupo ya hivi..[emoji125] View attachment 902536
hii maana yake ni, malipo ni hapa hapa duniani[emoji16][emoji16][emoji16]
hii maana yake ni, malipo ni hapa hapa duniani[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaa haaaa haaaaMaiti moja alikua anasafishwa mara gafla akacheka kwa nguvu sana, wale waoshaji wakaogopa sana. Wakamuuliza: "Sasa unacheka nini? We Si umekufa wewe?? Maiti Akajibu: Si mnanitekenya, Mi staki bwana" akafa tena.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436][emoji1436]
Sent using Jamii Forums mobile app