JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Naona umetumwa na inzi wa kijani na njano kuzima mjadala wa ripoti ya CAG. Mkuu wa inzi wa kijani na njano amesema wizi kwenye mashirika ya umma ni wa miaka ya nyuma. Sasa nakuuliza wewe chawa wa inzi wa kijani kama huo wizi umefanywa miaka ya nyuma ni kwa nini hiyo ripoti isomwe mwaka huu? Kwa nini isingesomwa miaka hiyo hiyo ya nyuma? Bata wahed!Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.
Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio kama Mlimwa Hills na mashamba ya mizabibu. Kwa mpenda maisha, kuna kumbi nzuri za starehe nyingi sana. Shida Kubwa ya Dodoma ni vitu vingi bei juu sana.
Wakuu leo mchana naenda Dodoma naomba mwenye Private Car Anisogeze hapo natokea Mbezi Mwisho
Kilimo gani Dodoma Acha uongoDodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.
Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio kama Mlimwa Hills na mashamba ya mizabibu. Kwa mpenda maisha, kuna kumbi nzuri za starehe nyingi sana. Shida Kubwa ya Dodoma ni vitu vingi bei juu sana.
Wakuu leo mchana naenda Dodoma naomba mwenye Private Car Anisogeze hapo natokea Mbezi Mwisho
Duuh sawa, mimi Hiyo paragraph ya mwisho ndio lengo la huu uziNaona umetumwa na inzi wa kijani na njano kuzima mjadala wa ripoti ya CAG. Mkuu wa inzi wa kijani na njano amesema wizi kwenye mashirika ya umma ni wa miaka ya nyuma. Sasa nakuuliza wewe chawa wa inzi wa kijani kama huo wizi umefanywa miaka ya nyuma ni kwa nini hiyo ripoti isomwe mwaka huu? Kwa nini isingesomwa miaka hiyo hiyo ya nyuma? Bata wahed!
zabibu, mahindi na alizet KongwaKilimo gani Dodoma Acha uongo
Ndio lizuri lakini. hali ya hewa Dodoma ni nzuri sanaHali ya hewa gani Dom jamani, jua linawaka km limeshuka.
mimi nilijua ataeleza fursa zlizopo za kazi,biashara kumbe starehe na anasaDuuh sawa, mimi Hiyo
paragraph ya mwisho ndio lengo la huu uzi
Kutwa kurudi Dar si mtulie huko huko, ikifika saa 6 kila ukichungulia nje unarudi ndani kwa jua. Msimu wa baridi kasheshe kabisa.Ndio lizuri lakini. hali ya hewa Dodoma ni nzuri sana
Mimi paragraphy ya mwisho ndio lengo la huu uziAise! Bei ziko juu tena?
Hakuna unayeweza kumhubiri kuhusiana na mji wa Dodoma akakuelewa!
Kwa maelezo uliyayatoa kichwa cha habar kilitakiwa kisomeke "" Kama umeshajipata kimaisha hamia Dodoma hutojutia"Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani.
Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio kama Mlimwa Hills na mashamba ya mizabibu.
Kwa mpenda maisha, kuna kumbi nzuri za starehe nyingi sana. Shida Kubwa ya Dodoma ni vitu vingi bei juu sana.
unamjua yupi mzee wangu.JohnGervas huyu huyu ninaemjua?