Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila wasiwasi wake ni kwamba,ikitokea bahati mbaya akakutwa ana ngoma na ukzngatia huu ndo mwaka wake wa mwsho chuo,c ndo atakufa kabla hata ya cku zake.naomben mawazo yenu ili niweze kumshauri huyu mshkaji mwenzetu wakuu.
kama ni mm bora penzi lifike mwisho....kupima ngoma sio shughuli ndogo!
kama ni mm bora penzi lifike mwisho....kupima ngoma sio shughuli ndogo!
Niko na wewe kwa asilimia 100% peku peku inaraha yake na hasa mkiwa mnapendana na jamaa mambo anayajua ndio ooooh raha tupu!!!!safi sana..
Kuna raha yake mkipima na mechi ikapigwa peku pekua
OTIS
Kwanini uwe mtihani, kama anampenda kweli atamhami na hakuna njia ila kupima
Niko na wewe kwa asilimia 100% peku peku inaraha yake na hasa mkiwa mnapendana na jamaa mambo anayajua ndio ooooh raha tupu!!!!
Niko na wewe kwa asilimia 100% peku peku inaraha yake na hasa mkiwa mnapendana na jamaa mambo anayajua ndio ooooh raha tupu!!!!