Kama unataka kufanya skimming na unahofia gharama pitia hapa huenda ukajifunza kitu

lekumok

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
589
Reaction score
770
Mabosi kwema? Humu wengi wenu najua mna nyumba mnataka kufanyia finishing ila mna maswali juu ya garama za kwanzia skimming hadi rangi. Kwa kifupi nianze kwa wale wa chumba kimoja ambao hawamudu garama za baadhi material.

Option no 1.
: Andika powder 1=35000/40000( ceiling board.)
: Emulsion litre 4=11000(ceiling board)
: Binder litre 4=35000(kuta)
: Fibre tape 1=4000(joints za ceiling)
: Masking tape 1=3000(madirisha na frem ya mlango.
: Rola 1=4000
: Brashi 1=3000
: Rangi ya finishing litre 10=70,000/100,000 itategemea ubora wa rangi utakayoitaji. Au kama huna ela ya rangi piga Binder then jikusanye.
: Msasa meter moja=2000
: BBG powder 3/4=39000/52000
itatagemea chumba kina ukubwa gani au plasta imepigwa pasi au iko rafu.kwa kawaida kama chumba plasta yake iko rafu basi inakula sana powder, ila kama fundi alipiga pasi material yataenda kidogo sana.so ichukue hii leo,mwambie fundi wako apige pasi kwenye plasta kuokoa garama ya skimming hasa kwa ndani,kwa nje hata akiacha sio mbaya kwani haili material mengi.

Nimemalizana na wale wa Chumba kimoja na hakuna garama ndogo tena zaidi ya hii.
Ufundi inategemea na fundi na fundi.kila fundi ana ubora wake na bei zake.

nakuja kwa wale ambao wao pesa sio shida bali kazi nzuri.powder za kufanyia skimming zipo nyingi ila kuna ambazo zitaifanya skimming iwe bora zaidi na kuilinda ukuta na fungus. Pia kuna decor za kuifanya nyumba yako ionekane ya kisasa zaidi.sio lazima ufanye skimming kote,baadhi ya kuta za ndani,kama sitting room,master room,unaweza kupiga decor pamoja na nje.hasa nje ukipiga decor inaongezea nyumba yako thamani zaidi.

Naomba leo niishie hapa mafundi wenzangu mnaweza kuongezea zaidi.

Kwa anaetaka kazi quality,na ya kisasa usihofu kunicheki.nitakutumia kazi zangu na ushauri pia natoa bure.kazi nafanya mkoa wowote nje ya Dar.

Pia nafanya sample ya skimming bure.kwa mawasiliano no:
0623406658, karibuni tujenge pamoja
 
Upo Wapi??
 
Na gharama za ufundi zinaweza kua kias gan labda Kwa chumba Cha 10ft x 11??
 
Back
Top Bottom