Kama unataka kuolewa, basi fanya hivi……………

una imani ndogo sana
tust me can make some one your perfect partner just treatment zako tu
 

Okay Kaunga.
Sikatai kabisa kwamba hayo uliyoandika, yanaweza kuwepo kwenye some of the couples, lakini kwa jinsi ulivyoandika, ni kama ndoa ni matatizo matupu.....yaani hakuna hata kufurahia hata kidogo.!!!!! Mhhhhh..sidhani kama hii picha ni sahihi. Na hata kwa mtafutaji, akiona hii, kwa kweli anakuwa dissapointed kabisa, while sio zote ziko hivyo. Kama nilivyosema, in most cases, what you expect is what you get. Ukiingia kwenye ndoa na mtazamo huo, kwakweli wala usitegemee kupata tofauti na mtazamo wako.

Stay blessed.
 

Kaunga, katika ndoa nyingi zinazovunjika, mke ndo mwenye maamuzi ya kuivunja ndoa. huu ndo ukweli. kama mke utaamua kukaa kwenye ndoa, hiyo ndoa haitavunjika, na kama utaamua kukimbia then vitaishia hapo. na ndo maana hata kwenye maandiko hawajasema mume, wamesema mke mpumbavu ataivunja nyumba yake. tukubali au tukatae, sisi wamama tuna uwezo mkubwa sana wa kuzijenga au kuzivunja ndoa zetu.
 

Ni swala tu la kimtazamo katika nyumba, ukijiona upo kwenye nyumba kama housegirl utajiona housegirl kweli. mimi nafurahia sana hizo kazi za kuzaa watoto (nilitamani nikiolewa niwe na watoto, so siyo shida kwangu), kupika, kufua, kuosha, kusafisha................ kwenda ofisini, kusoma....... ninapofanya kazi za nyumbani kwangu najiona nafanya kama mke, na siyo housegirl, kwa hiyo wala hainiumi
 


Ubarikiwe kwa maneno haya FP.
 
Amen K_H
Sometimes wamama tunapaswa kujua value yetu kwenye ndoa. Mimi najua ndoa yangu nisipotaka ivunjike haitavunjika na nikitaka kuivunja hata kesho tu itavunjika

Ni kweli kabisa FP, mamlaka hayo tunayo. Na ukitaka kubadilisha hali ya nyumbani kwako, inawezekana na ukaifurahia ndoa yako.
Asante FP
 
Kweli mkuu, huu Uzi swafi sana na msaada mkubwa kwa wadada zetu. Tunapenda wapate wenzi wao na wadumishe ndoa zao.
 

Karen,i like your "ineji"but bahati mbaya ndoa za siku hizi matatizo ni mengi kuliko faida,unaweza kutetea jambo coz unalifanya au unatarajia kulifanya au unalipenda,but ukweli hauwezi kubadilika according to your mtazamo!Wake up!
 

Niliwahi kuchangia uzi hapa siku zilizopita katika jukwaa hili.. Nyumba ni mwanamke...!!

Kaunga:Sikushambulii.. ila kuna umuhimu UJITATHMINI UPYA thamani yako (kama ni mwanamke) na mtazamo wako..... Dunia ya sasa..Kama kuna mdada amefuzu na anayaishi walau theluthi ya aloandika Mtambuzi na anasota bila mume aende akapate kikombe cha babu au amuulize muumba wake..!!!!
-Mtu unaeungana nae kuanzisha familia mnatofautiana KWA KILA KITU... si damu.. si tabia.. si fikra... si uchumi.... muhimu ni umakini wako tu..
-Binadamu wanarekebishika.. Nina ushahidi wa rafiki kipenzi ambaye alipata mwenza aliyemgeuza kutoka kuwa MDUDU,NYANG'AU na kuwa MTU, Mume muwajibikaji....!!!
 
Mtambuzi mie hayo yote nafanya tangu nilipovunja ungo, lakini mbona nina bahati mbaya ya kukutana na masharobaro tuuu.........LOL
 
kweli kabisa mimi tabia ambayo siipendi kwa mwanamke ni ile ya kujifanya kila mwanamme ulimwengu anamfahama, mara vipi wewe jana mbona club sikukuona oh nilikuwepo , vipi jana pale baa mbona ulitukimbia ah niliondoka saa sita nilikuwa bills noma
 
Mtambuzi mie hayo yote nafanya tangu nilipovunja ungo, lakini mbona nina bahati mbaya ya kukutana na masharobaro tuuu.........LOL
ushawatambua ni masaharouharo... rejea "Kumi na nane, ni jambo muhimu kujua sifa uzitakazo ambazo ungependa mumeo mtarajiwa awe nazo. Huo utakuwa ndio muongozo wako mkubwa."
Kwishnehi babu...
 

mtambuzi pamoja na mada nzuri lakini sipendezewi na mtazamo kuwa wanawake ndio tunaopaswa kufanyiwa tathmini, ndio tunaotakiwa kujinyenyekeza ili tuonwe na wanaume, ndio tunaotakiwa kujishusha mbele ya wanaume, eti ndio tunaosubiri kuposwa, kuhamishiwa kwa waume kama mizigo... kwa mtazamo wangu hayo yalikuwa zamani sana nowdays ni kutongozana, kuchunguzana, kuridhiana, kusaidiana mfikie lengo la kuoana (na sio kuoa nakuolewa ni KUOANA), kuanzisha familia kwa pamoja wewe njoo na kodi ya nyumba mie naja na kitanda... kwa wewe dada ukikaa ukisubiri hiyo 'mana' ya mbinguni ikushukie utachelewa...
 

kaunga ndoa ina mambo mengi sana mazuri sana. hayo uliyyoyataja hapo juu mengi ni majukumu tu ambayo yako kwenye mgawanyo huo kwa familia nyingi (ingawa si lazima yawe hivyo kwa kila familia ukiacha mbali suala la uzazi). nakushauri uwe na mtazamo chanya kuhusu ndoa, na usisahau ndoa ni kama mchezo ambao wachezaji ni mke na mume, na hao wachezaji ndio wanaoweza kutoa picha halisi ya mchezo na hatima yake kwa hiyo pakitokea tatizo lolote, kaa ukijua kuwa wanandoa wote 2 mko lawamani kwa kusababisha tatizo. kwa upande wangu nimeona baraka nyingi kama watoto, mali, heshima, furaha, amani, upendo, maendeleo na mafanikio, mengi sana tangu niingie kwenye taasisi hii ya ndoa
 
Was also shocked baada ya kusoma hiyo comment

Back to the topic; uzi wako mtambuzi umeenda shule; wenye macho wamekusoma.

Hilli la wanawake kuwa pushy si zuri ndio maana ni vema kuwa na urafiki na right man when your in right age na ku relax mwenyewe ata propose with time.

Tatizo linalowakuta baadhi ya wasichana ni kufikia 30 bila serious relationship; sasa yoyote atakayemjaribu tu basi mdada anaanza mwenyewe kuingiza swala la ndoa; hapo jamaa lazima akimbie. Maana inakuwa kero.

It is true wanaume wanapenda kuwasoma the to be wife.

Mfano mimi nili date for four years; nilikuja pata kazi sehemu fulani ambayo kuna ma brothermen kibao; baada ya kupata hiyo kazi jamaa alienda home ndani ya wiki kujitambulisha rasmi maana alijua kuwa vijana pale wanaweza kumpindua. To me it was a shock nikamwambia why ghafla; anyway kwa kuwa was in love nilikubali kuolewa; but even if asingenioa nilijua nitaolewa tu na yeye alilijua hilo ndo maana aliona asipofanya haraka ataachwa kwenye mataa.

 
Unachosema ni kweli kabisa; Niki reflect sioni kama kuna uwezekano wowote wa mume wangu kunitimua; ila najua kuwa naweza ku walk out. Kwa hiyo ni kweli ndoa nyingi uvunjika kwa uamuzi wa mwanamke pale anapochoka kuvumilia au kufight.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…