Kama unataka kuolewa, basi fanya hivi……………


Ahsante sana Keren..ubarikiwe sana.

 
Last edited by a moderator:

Mwanamke Wa Kitanzania sijui ana matatizo gani katika kujivunia na kutumia haki zake!

Iwapo mwanamme ndo anamfata kumposa mwanamke na akalipa na mahari, ni dhahiri kuwa mwaname ndo mwenye shida.
 

mimi sikuungi mkono hata kidogo mfume dume ni enzi hizoo mapenzi ni kupendana na sio utumwa hapo naona unamuweka mwanamke kama mtumwa nooooooooo pls mwanaume anatakiwa awe na majukumu ya kulinda ndoa yake otherwise sikubaliania na wewe hata kidogo
 
Umesahau moja mkuu, wanaume tunapenda wanawake wenye tabia nzuri, tukijuwa tu unachakachuliwa hovyo, tunakupiga chini fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…