Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Mwaka 2025 usikae kihasara

Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia

Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?

Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela

We zubaa hapo, shauriako

Darasa la Feminine liko whatsapp njoo usome weee

Tajiri ana uwanja mkubwa wa kuchagua mwanamke yeyote anaemtaka, Kwetu waafrika kwakuwa ugonjwa wetu ni weupe wa ngozi, Mtumishi nae kadumisha mila 😂😂

Matajiri wazungu hawaangalii sana urembo wanaangalia akili, unyenyekevu, tabia, n.k. Huyu ni mke wa Mark Zuckbereg, Tajiri namba nne duniani mmiliki wa facebook, whatsapp, Instagram.

1736089600928.png
 
Na sisi tunasema 2025 malengo sio kuolewa na bilionea, malengo ni kuwa milionea kisha bilionea kwa utashi wetu wenyewe.

Kuolewa kubaki kuwa ni kwa mapenzi tu.
Wachache wataelewa hii concept , mwanamke usifundishwe kuvizia wenye pesa , utatumika na kuachwa , ukiwa na pesa yako utapata mwenye pesa pia , mwanaume haoi Sura anaoa akili sasa chaguo ni lao , wewe umewaeleza vizuri
 
Tajiri ana uwanja mkubwa wa kuchagua mwanamke yeyote anaemtaka, Kwetu waafrika kwakuwa ugonjwa wetu ni weupe wa ngozi, Mtumishi nae kadumisha mila 😂😂

Matajiri wazungu hawaangalii sana urembo wanaangalia akili, unyenyekevu, tabia, n.k. Huyu ni mke wa Mark Zuckbereg, Tajiri namba nne duniani mmiliki wa facebook, whatsapp, Instagram.

View attachment 3193343
Ukute mkewe mweupe akili bye bge
 
Back
Top Bottom