Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Konekshen gan saAah wapi…. Connection ndo muhimu zaidi, we wadanganye wadada wa watu!
Tangu umeamua kuwa milionea au bilionea uko level gan mwenzetu?Na sisi tunasema 2025 malengo sio kuolewa na bilionea, malengo ni kuwa milionea kisha bilionea kwa utashi wetu wenyewe.
Kuolewa kubaki kuwa ni kwa mapenzi tu.
We Tangu uko na Yesu una miliki pesa ngap mwenzetu?Haina maana sana kama huna Yesu
Wamekuja wanambwela mbwela tu
Pazuri sana darling. Independent for 100%, paying my own bills and the stuff.Tangu umeamua kuwa milionea au bilionea uko level gan mwenzetu?
Mama yake ndo amempambania…Konekshen gan sa
Huyo cheupe aliolewa kwa konekshen?
Wachache wataelewa hii concept , mwanamke usifundishwe kuvizia wenye pesa , utatumika na kuachwa , ukiwa na pesa yako utapata mwenye pesa pia , mwanaume haoi Sura anaoa akili sasa chaguo ni lao , wewe umewaeleza vizuriNa sisi tunasema 2025 malengo sio kuolewa na bilionea, malengo ni kuwa milionea kisha bilionea kwa utashi wetu wenyewe.
Kuolewa kubaki kuwa ni kwa mapenzi tu.
Na feminine piaKumbe mke wa Mwamposa ni kisu hivi.
Ukute mkewe mweupe akili bye bgeTajiri ana uwanja mkubwa wa kuchagua mwanamke yeyote anaemtaka, Kwetu waafrika kwakuwa ugonjwa wetu ni weupe wa ngozi, Mtumishi nae kadumisha mila 😂😂
Matajiri wazungu hawaangalii sana urembo wanaangalia akili, unyenyekevu, tabia, n.k. Huyu ni mke wa Mark Zuckbereg, Tajiri namba nne duniani mmiliki wa facebook, whatsapp, Instagram.
View attachment 3193343