Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

Aisee moyo wa mwanadamu hata Mungu alishindwa kuuelewa.

NYIE Wadada mjini ni KOMESHA.

ANYWAY, fraud ndio umekuwa msingi wa maisha sasa, ukiwa unawafundisha uwaoneshe na wewe mme wako alie bilionea (sip mchepuko wako)
 
Nakujaaa
 
Na sisi tunasema 2025 malengo sio kuolewa na bilionea, malengo ni kuwa milionea kisha bilionea kwa utashi wetu wenyewe.

Kuolewa kubaki kuwa ni kwa mapenzi tu.
💩💩 sema tu ukweli ushapoteza mavuto na matumaini singo maza... Ganga njaa maisha yaende wanaume sikuhizi hawakurupuki kuoa
 
Tutafute pesa ndoa yakweli ni pesa
 
Aisee moyo wa mwanadamu hata Mungu alishindwa kuuelewa.

NYIE Wadada mjini ni KOMESHA.

ANYWAY, fraud ndio umekuwa msingi wa maisha sasa, ukiwa unawafundisha uwaoneshe na wewe mme wako alie bilionea (sip mchepuko wako)
Kaoe wa kijijini akija mjini mabilionea wanapita nae
Baada ya wewe kuwa bilionea kwanza usiende kutafuta ubwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…