Kama unataka mali utayapata shambani

TLAWI AKONAAY

Senior Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
110
Reaction score
62
hii ni mwaka moja tu huyu jamaa kalima vitungu saumu na viazi mviringo. amelima zaidi ya eka 5 kauchuma wa maana. sasa kwanini na sisi tusijaribu mazao ya biashara? tatizo letu tunakomalia sana zao la chakula
 

Attachments

  • 1484011733297.jpg
    43.6 KB · Views: 40
tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu.
 
jamaa sa hvi anaruhusiwa kunywa chai benki. we pamoja na mshahara wako wa mwezi hata choo cha ndani huendi
 
TUFUNDISHENI UKULIMA WENGINE HATUJUI MAMBO YA KIILIMO
 
tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu.
1.Umelima wapi?
2.Mbegu umenunua wapi?
3.Zinauzwaje?
4.Kiasi gani cha mbegu kinatosha ekari moja?
5. Utaratibu wa kulima vitunguu maji unatofautianaje na hicho vitunguu saumu?
Natanguliza shukrani
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…