Kama unataka men - QD

Kama unataka men - QD

Joined
Feb 6, 2024
Posts
40
Reaction score
64
Nampenda men mwenye umbo zuri kama jd/awe ananyuka pamba kama vile Stev B /sio maarufu sana kama hammy b / awe anajua mapenzi sana kama vile jafarai/ili nikiwa nae najua nitafurahi/ awe anapenda debe na wala asiwe na gebe /awe anajua kuimba kama shabani dede/awe ananijali lijali kama t.i.d/ mate kibovu washamba wala siwasimiki/ awe mpole mtaratibu kama dj nelly / sio mlevi kwa fujo kama raphaeli, headsome boy kwa bozi kama dj venture / ma sister du wakiniona nae wanadata / awe na Akili ya uchambuzi kama seba maganga /asiwe mchawi anapenda mambo ya waganga /awe mtanashati kama Abb sadik/ ili tuende out kila mwisho wa wiki / awe na dhiki, mihela katu sitishiki/ ili nimpende KWA Dhati wakome wanafiki/

🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Rest in peace Dj steve b dj skils
FB_IMG_1710164727432.jpg
 
Ni picha ya dj steve b na dj sinyorita nimepost picha ya dj steve b kwaBABU ni sehemu ya watu waliotanjwa katika hiyo nyimbo hiyo ya QD.
Hivi huyo binti bado yupo Clouds Radio ama aliondoka?

Sijamsikia Kitambo sana
 
Back
Top Bottom