Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek

Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek
Sikuhizi ushindwe wewe tu mafundi Tz wapo 0743 257 669 View attachment 3342742
Ufundi 600,000 kwa nyumba za makazi material utanunua mwenyewe 0743 257 669 tupo ukonga dsm
Ina maana hata iwe room 1 ghalama ya fundi 600k
Iwe room 5 ghalama y ufundi 600k.
Ungeweka bei kuendana na size ya ngazi.
 
uyo kazi hafanyi yeye ni dalali wa kutafuta wateja akamlalie fundi kwa 300,000 apate cha juu
šŸ¤£šŸ˜‚šŸ˜„šŸ˜‚šŸ˜šŸ¤£šŸ¤£Madalali Watakufa Vibaya
Nawahurumia

In Magembe Voice.....
 
Hahaha sasa izo ngaz na room zinahusiana nn kaka mkubwa
Nimemaanisha ukubwa wa nyumba maana katoa fixed price.
Ngazi za nyumba ya room 1 haziwezi kuwa sawa na ngazi za nyumba ya room 5. Umeelewa?
 
Nimemaanisha ukubwa wa nyumba maana katoa fixed price.
Ngazi za nyumba ya room 1 haziwezi kuwa sawa na ngazi za nyumba ya room 5. Umeelewa?
Sijakuelewa kabisa mana hizo ngaz niza mlango wa mbele ama wa nyuma bila kujalisha idadi ya vyumba ama mwenzetu unataka kuweka kila chumba
 
Sijakuelewa kabisa mana hizo ngaz niza mlango wa mbele ama wa nyuma bila kujalisha idadi ya vyumba ama mwenzetu unataka kuweka kila chumba
Ukubwa wa baraza la nyumba ya chumba kimoja ni sawa na ukubwa wa baraza la nyumba ya vyumba vi5?
 
Kumbe ujenzi gharama hivi, ngoja niendelee kupanga🄲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…