Kama unataka utajiri CHUKUA RISKY

Kama mwaka huu nimeamua nijilipue kulima heka 100 za ufuta
 
Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri.
Kwa kilimo cha bongo na huna mtaji wa kutosha unatafuta kifo cha ibada ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…