Kama unatatizo la kukosa mtoto (mimba hazishiki) pitia hapa.

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Habarini wakuu...
Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote)

Kama kuna mtu mwenye tatizo hili please nicheck PM.

NB. Sitafuti mchumba wala mke mm nimeoa tayari tena kwa ndoa halali.

Pia sifanyi biashara huduma hii ni bure maana hata mm nilisaidiwa bure .( hakuna imani za kishirikina)

Naomba kuwasilisha
 
Wewe sio mwanaume kweli wewe? Hako kamchezo kaache.
Huduma bure alafu waje pm. Weka madini hapa hapa uwanjani.
 
Nilifikiri upo kusaidia watu wenye shida. Kwa wale wanaojulikana kabisa shida zao sioni kama utakuwa umejishusha kuwatafuta kwa lengo la kuwasaidia.
Wengi wao watahisi tofauti na lengo la kusaidia watahisi kuna kitu extra........Akili za wabongo siunazijua
 
Mkuu, sasa kama lengo lako ni kusaidia....... Kwanini sasa unataka wakuje PM..!!?? Kwani ukiweka huo msaada hapa jukwaani utakua umepata hasara...??
 
Mkuu lengo la PM nikukwamba sio kila mtu anapenda kuexpose matatizo aliyonayo kwa public na ndio maana hata lile daftari la wagonjwa juu limeandikwa siri.
 
Safi sana mkuu....
Naona umesahau kwamba umejipabmbanua wazi kwamba, wewe sio Mganga wala sio mfanya biashara.
Na ukaongeza kwamba lengo lako hasa ni kusaidia,kwasababu hata wewe ulisaidiwa.
1. Sasa unaposema sio kila mtu anahitaji ku expose mambo zake, Je huko PM unasikiliza wagonjwa?
2. Na kama lengo ni kusaidia, kwanini usiweke hayo maelezo hapa jamvini ili kila atakaeona analo hitaji atumie?
3. Unaposema wakikuja PM uwasikilize, je hauoni kama tayari umeweka mazingira ya ushawishi kwamba wewe ni Mganga na kisha ufanye biashara?

Binafsi nimeanza kukutilia mashaka mkuu
 
Mkuu nielewe tu kuwa mm sio mfanyabiashara kabisa ktk hili.......hata waliokuja PM ni mashahidi.
Lakini kama tatizo lako litafanikiwa baada ya kupata tiba basi kama utaamua mwenyewe kiroho safi basi utanitunuku mpunga wala sitakataa.

NB.kama utapenda kunitunuku kirohosafi
 
Mkuu, "msaada na pesa" havijawahi kuchanganyikana kama "mafuta na maji"
 
Shukrani chief, Mimi mke Wangu amehangaika kwa takribani miaka 8 ila sasa tumebahatika yuko conceived!
 
Hizi mbinu za kuwala wadada.
Asilimia 90 ya wanawake wanatafuta mimba kwa waganga wanatiwa na hao waganga wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom