chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Wewe sio mwanaume kweli wewe? Hako kamchezo kaache.Habarini wakuu...
Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote)
Kama kuna mtu mwenye tatizo hili please nicheck PM.
NB. Sitafuti mchumba wala mke mm nimeoa tayari tena kwa ndoa halali.
Pia sifanyi biashara huduma hii ni bure maana hata mm nilisaidiwa bure .( hakuna imani za kishirikina)
Naomba kuwasilisha
Mm ni mwanaume mkuuWewe sio mwanaume kweli wewe? Hako kamchezo kaache.
Huduma bure alafu waje pm. Weka madini hapa hapa uwanjani.
Sio nimtafute mkuu inatakiwa anitafuteMtafute Wema Sepetu, sidhani kama yupo humu.
Sio nimtafute mkuu inatakiwa anitafute
Wengi wao watahisi tofauti na lengo la kusaidia watahisi kuna kitu extra........Akili za wabongo siunazijuaNilifikiri upo kusaidia watu wenye shida. Kwa wale wanaojulikana kabisa shida zao sioni kama utakuwa umejishusha kuwatafuta kwa lengo la kuwasaidia.
Mkuu lengo la PM nikukwamba sio kila mtu anapenda kuexpose matatizo aliyonayo kwa public na ndio maana hata lile daftari la wagonjwa juu limeandikwa siri.Mkuu, sasa kama lengo lako ni kusaidia....... Kwanini sasa unataka wakuje PM..!!?? Kwani ukiweka huo msaada hapa jukwaani utakua umepata hasara...??
Safi sana mkuu....Mkuu lengo la PM nikukwamba sio kila mtu anapenda kuexpose matatizo aliyonayo kwa public na ndio maana hata lile daftari la wagonjwa juu limeandikwa siri.
Mkuu nielewe tu kuwa mm sio mfanyabiashara kabisa ktk hili.......hata waliokuja PM ni mashahidi.Safi sana mkuu....
Naona umesahau kwamba umejipabmbanua wazi kwamba, wewe sio Mganga wala sio mfanya biashara.
Na ukaongeza kwamba lengo lako hasa ni kusaidia,kwasababu hata wewe ulisaidiwa.
1. Sasa unaposema sio kila mtu anahitaji ku expose mambo zake, Je huko PM unasikiliza wagonjwa?
2. Na kama lengo ni kusaidia, kwanini usiweke hayo maelezo hapa jamvini ili kila atakaeona analo hitaji atumie?
3. Unaposema wakikuja PM uwasikilize, je hauoni kama tayari umeweka mazingira ya ushawishi kwamba wewe ni Mganga na kisha ufanye biashara?
Binafsi nimeanza kukutilia mashaka mkuu
Mkuu, "msaada na pesa" havijawahi kuchanganyikana kama "mafuta na maji"Mkuu nielewe tu kuwa mm sio mfanyabiashara kabisa ktk hili.......hata waliokuja PM ni mashahidi.
Lakini kama tatizo lako litafanikiwa baada ya kupata tiba basi kama utaamua mwenyewe kiroho safi basi utanitunuku mpunga wala sitakataa.
NB.kama utapenda kunitunuku kirohosafi