Kama unauhakika wa kupata maziwa ya nini kufuga ng'ombe?

faida za kufuga ngombe ni nyingi kuliko maziwa ambayo hujui hata yanatokea wapi mara yamechakachuliwa mara yamechanganywa na ya juzi na umeme huu jiandae kunywa yaliyoanza kuchacha uumwe tumbo bure
 

Rose hivi hapo kwenye red ndo nini vile maana sipati network kabisa mkuu wangu
 
Inategemea na maziwa wenyewe kama hutiwa maji bora kufuga ng'ombe upate maziwa bora kwa afya yk
 
Faida za kuwa specific nyingi kwamba kama bado dhamira yako ipo hai hauna haja ya kuuliza hili swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…