Hi, evry body natumaini mko poa na michkato ya hapa na pale. Mimi nimehitimu four niko katka harakati za kutafuta chuo according to my pas credit nina c mbili kwenye chemistry na biology kutkana na uwezkano wa kwenda five goverment kugonga mwamba nikaona ni tafute chuo cha afya /udaktari nikafind chuo kimoja kipo moshi cha Pale KCMC Cha st . LUKE ambacho kimebase na pharmacy according na maslahi yangu baada ya kusoma maana ngazi ya certificate ni mwaka then diploma 2years ada kwa mwaka ml. 3 .
Wana jf naombeni mnisaidie kuhusu ajira zipo kweli au nitapoteza mamilioni ya pesa tu bure?
Wana jf naombeni mnisaidie kuhusu ajira zipo kweli au nitapoteza mamilioni ya pesa tu bure?