Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100

Ni pesa ndefu..
Naomba GenZ wenzangu nipeni connection

Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi

Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
 
Onana na @Dk. Mwigulu Nchemba ndo anajua watoa hela.
 
Ama kweli hii awamu ya 6 serikali imeingia madarakani kinyemela kabisa, inaishi kwa propaganda...tena za kitoto mnoo!!.
Mbaya zaidi kuanzia kwa huyo mama yao na wasaidizi wake!
 
Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100

Ni pesa ndefu..
Naomba GenZ wenzangu nipeni connection

Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi
Hoja za mwigulu ni sawa na mwigulu kuua MENDE KWA NYUNDO...

MWIGULU NCHEMBA ANAUA MENDE KWA NYUNDO..KAZI ANAYO.
 
Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100

Ni pesa ndefu..
Naomba GenZ wenzangu nipeni connection

Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi
Halafu hio pesa imelipwa straight kwenye simu
 
Unamuamini aliyesema 😁
 
Unamuamini aliyesema 😁
Tatizo lake Bwana mwigulu hajasema ni nani na wapi huo mchongo unapatikana ameongea juu juu tu...
Anyooke vizuri sisi tuombe kazi iyo..
Hakuna raha kama unakufa huku umeacha angalau bilioni 1 kwa ajili ya mke na watoto
 
Guys yupo nyuma ya muda. Ni mtu ambae anaamini wabongo ni wajinga kwaiyo anaweza kuwapanga kwa propaganda.

Ukifatilia kauli zake kuanzia Lissu kupigwa risasi(alisema wapinzani wanapigana risasi wenyewe), abdul nondo kutekwa(alisema alikua kwa demu wake) n.k. Hauwezi kumshangaa huyu mtu
 
Mwigulu is nothing but a political opportunist and bearing in mind that the political post he is holding does not require genuine professional qualifications his appointing authority did not strive to find him.

Mwigulu is a man with a loose tongue and his frequent utterances bordering on the mockery to the people is definitely what his boss has relied on to justify his appointment and he is likely to be the last PM before the fall of their regime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…