Kama unayahisi haya yafuatayo ndani ya mwili wako

Kama unayahisi haya yafuatayo ndani ya mwili wako

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Kama unayahisi haya yafuatayo ndani ya mwili wako
1)kichwa kuuma
2)kutoona vizuri
3)hali ya joto kias
4)kukaa kama umechanganyikiwa
5)kukosa usingizi
6)mara nyingi kiujikuta ukishtuka ovyo
7)kuwa na hasira za haraka na hutaki kuongeleshwa
8)uchovu wa ovyo

Hiyo sio (Corona virus)
Hizi ni dalili za mtu asiye na pesa na inaitwa (povid 20) poverty virus disease 2020, kwa hiyo isikusumbue hiyo smile
emoji4.png
emoji4.png
emoji4.png
emoji4.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unayahis haya yafuatayo ndani ya mwili wako
1)kichwa kuuma
2)kutoona vizuri
3)hali ya joto kias
4)kukaa kama umechanganyikiwa
5)kukosa usingizi
6)mara nyingi kiujikuta ukishtuka ovyo
7)kuwa na hasira za haraka na hutaki kuongeleshwa
8)uchovu wa ovyo
Hiyo sio (Corona virus)
Hizi ni dalili za mtu asiye na pesa na inaitwa (povid 20)poverty virus disease 2020, kwa hiyo isikusumbue hiyo smile [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimewahi siti


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom